| HakiElimu imekuwa ikifuatilia ahadi mbalimbali za serikali kama ambavyo zimekuwa zikiripotiwa katika vyombo vya habari.Mkusanyiko juu wa ahadi,na maelekezo yaliyotolewa katika kipindi cha Januari-Juni 2007.Mada zilizomo humu ni pamoja na zile zinazohusiana na maisha bora,utawala na uwajibikaji na sekta nyingine kuu kama elimu,maji,kilimo na umeme.Chapisho la ahadi lililotangulia lilikuwa na ahadi zilizotolewa na Raisi na viongozi wengine wa ngazi za juu wa serikali kati ya mwezi Mei na Septemba 2006. |